Msanii wa Ghana Stonebwoy amethibitisha kuwa rapa Wacka Flocka kutoka
Marekani ataonekana kwenye video yake mpya ya wimbo wa ‘Talk To Me’.
Kwenye wimbo huu
kashirikishwa msanii kutoka New York anayefanya muziki
wa Dancehall Kranium. Kranium anafahamika kwa wimbo wake “Nobody Has to
Know”.
Video inafanywa na muongozaji kutoka Ghana Jorge Freeman.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment