Ni stori kuhusu bongofleva na headlines zake nje ya mipaka ya Tanzania ambapo time hii...
Idris kajibu haya kuhusu picha za Wema na jamaa wa Big Brother…
Kuna pichaz ambazo zimesambaa mitandaoni zinazowaonesha mrembo Wema Sepetu na Luis ...
Maneno ya mwigizaji Frank baada ya kukosa kiti cha Ubunge….
Tukiwa tumemaliza headlines za Uchaguzi Mkuu 2015, mwigizaji Frank alijitokeza...
China itaruhusu watu kuwa na watoto wawili? Huu ndio mpango mpya..
Kitendo cha Sheria za China kupiga marufuku watu kuzaa mtoto zaidi ya mmoja, ilikuwa ...
Prof. Jay na Ubunge !! Mpya ya Nikki wa Pili? Joh Makini na Tuzo ya Diamond je?
Prof. Jay , mshindi wa kiti cha Ubunge Jimbo la Mikumi. Prof. Jay amesema amefurahi kw...
Baada ya miaka 7 ya ukimya, Akon amerudi na hii mpya; ‘Whole Lot’ feat. Migos
Mara ya mwisho umenunua Album ya Akon ilikuwa lini?! Amini, usiamini imepita miaka sa...
Haya ndiyo Majibu ya Louis van Gaal baada ya kupondwa na Paul Scholes…
Kocha wa klabu ya Manchester United Louis van Gaal ambaye wengi wamekuwa wakihoji j...
Kwa mwenendo wa Chelsea vipi Jose Mourinho anafikiria watamaliza Top 4? hili ndio jibu lake…
Ikiwa masaa kadhaa yamesalia kabla ya klabu ya Ch...
Cheki mbinu hii mpya hawa wakiwa wamenaswa na pombe za kienyeji ndani Jeneza Kenya.. (Video)
Tumezoea kuona majeneza yakitumika kuhifadhia miili ya Marehemu au watu waliofariki, uliwahi kufikiria kuna mtu anaweza kutum...
Fainali ya US Alger Vs TP Mazembe dondoo muhimu za kufahamu, Samatta anaweza weka rekodi hii…
Michuano ya fainali ya klabu Bingwa Afrika inatarajia kufanyika leo October 31 nchini...
Ex girlfriend wa Chris Brown ‘Karrueche Tran’ anakuja Nigeria kuhost pool party tizama picha hapa.....
Aliyekuwa mpenzi wa Chris Brown ‘Karrueche Tran’ anakuja Afrika nchini Nigeria kuhost pool party itakayofanyika Abuja na atakuwa na dj ...
Album ya Mnigeria Wande Coal yashika namba moja Itunes ndani ya saa 48.
Album mpya na yapili wa Wande Coal kutoka Nigeria imefanikiwa kuwa mwongoni mwa album zilizonunuliwa zaidi kwenye mtandao wa Itunes wiki...
Dancer Julija wa Uingereza katengeneza dance video ya wimbo wa Diamond Platnumz ‘Nana’ itazame hapa.
Dancer kutoka Uingereza Julija ametoa dance video ya wimbo wa Diamond Platnumz ‘Nana’ ft Flavour wa Nigeria. Bonyeza play kuitazama.
Christian Bella na Ali Kiba wamemaliza shooting ya video ya Nagharamia tizama picha hapa.
Christian Bella na Bongo fleva super staa Ali Kiba wamefanikiwa kumaliza kushoot video ya wimbo wao mpya Nagharamia na Bella amethibitisha...
Rick Ross azungumzia ushauri aliompa Meek Mil kabla hajaingia kwenye beef na Drake.
Rick Ross anajitayarisha kutoa album yake mpya ya Black Market na hivi karibuni amehojiwa kuhusu beef ya Meek Mil na Drake pamoja na col...
ItizameTrailer ya video ya Rick Ross Ft Chris Brown
Rapa Rick Ross amefanya drama kidogo kama movie kwenye video ya wimbo wake “Sorry” akiwa na Chris Brown. Wimbo “Sorry” upo kwenye album...