Msanii wa Ghana Stonebwoy amethibitisha kuwa rapa Wacka Flocka kutoka Marekani ataonekana kwenye video yake mpya ya wimbo wa ‘Talk To Me’...
Hiki ndio kitu cha mwisho atafanya Puff Daddy kabla haja staafu muziki kabisa.
Rapa Puff Daddy anaelekea kustaafu muziki baada ya kutangaza album yake ya mwisho.Pdd ambaye ni msanii wa hiphop mwenye pesa nyingi zaidi...
Mwezi huu ni 50 Cent na muigizaji Jake Gyllenhaal kwenye filamu ya Southpaw.
Rapa na muigizaji 50 Cent amesema Eminem anakubali kipaji chake cha kuigiza na ameipenda filamu yake mpya ya Southpaw. 50 Cent na muigiza...
Ali Kiba na Diamond Platnumz kwa midomo yao wenyewe wanakiri hawa beef
Diamond Platnumz na Ali Kiba Kwenye interview tofauti walizofanyiwa watu hawa maarufu wa muziki wa bongo fleva wote wamekiri kuwa hawan...
Mshindi wa tuzo ya BET 2015 aliyesema Jay Z wa Ghana ni Sarkodie.
Msanii wa Ghana Stonebwoy aliyeshinda tuzo ya Best International Act Africa ya BET 2015 amesema msanii mwenzake kutoka Ghana ‘Sarkodie’ ...
Waje aelezea maumivu aliyoyapata baada ya kutotajwa kwenye collabo ya Do Me ya P Square,aliwafanyia chorus kali.
Mwimbaji kutoka Nijeria ‘Waje’ amesema alijiskia vibaya sana Psquare walivyopuuzia kumtaja kama msanii aliyeshiriki kwenye wimbo wao w...
Russell Wilson mpenzi wa Ciara amesema wana miezi mitatu kwenye mahusiano ila yeye na Ciara hawajakutana kimwili,sababu iko hapa
Russell Wilson ambaye ni Mpenzi wa msanii wa rnb Ciara amesema hata baada ya miezi miwili kwenye mahusiano ya motomoto yeye na Ciara haw...
Badala ya michango ya harusi angalia hiki kinachofanywa na Wachina kwenye ndoa..
Ni utamaduni wa kawaida kabisa na uliozoeleka ikitokea kuna harusi hivi basi kadi za michango zinapitishwa na watu ...
Jibu la Linah baada ya shabiki kuuliza uhusiano wake na kaka yake Zari (Bosi Mutoto).
Kama wewe ni mtu wa stori za mastaa kutoka kwenye mitandao ya kijamii inawezekana ikawa imekufikia hii ya Linah kutajwa kuwa mapenzini na k...
Tatizo la Network sio Bongo pekeake, ndege hazikuruka Marekani leo !!
Kitaalam kuna vitu vikitokea vinasababisha network kuwa na matatizo, basi ikitokea mfano kuna tatizo kwenye network...
Kipindi hiki cha Ramadhan Wachina hufuturu kwa style hii. >>>Pichaz!
Futari ni mlo ambao waislamu wengi hushirikiana kwa pamoja baada ya siku ndefu ya mfungo kwenye kipindi hiki cha Rama...
Ujenzi wa Rock City Mall ya Mwanza umefikia hapa, litaanza kazi muda wowote..
Katikati ya Jiji la Mwanza kiko hiki kitu kizuri, kama uliwahi kupitia millardayo.com basi huenda uliwahi kukutana n...
Mbunge wa CHADEMA kanusurika kwenye ajali ya hii Helicopter leo July 07 2015.
Taarifa ilianza kuenea jioni ya July 07 2015 kwenye kuhusu ajali ya Helicopter iliyokua imebeba Wanachadema mbalimbali akiwemo mbunge Aru...
Msanii H baba kuichezea Toto African?, maneno yake nimekuwekea hapa
. Good news ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa msanii wa Bongo Fleva, H Baba ambaye ametangaza rasmi sasa h...
Kuhusu pengo la Mrisho Ngassa kwa Yanga FC, Hamis Tambwe kayasema haya
. Kwa watu wangu wa soka la Tanzania kama topic ya Pengo la mchezaji Mrisho Khalfan Ngassa kuonekana Yanga baada ya mchezo huyo kwend...
Unaambiwa hii ndio ‘Panya’.. Video mpya kutoka kwa Bracket Feat. Tecno
Kundi la Bracket kutoka Nigeria waliachia ngoma ya ‘Alive’ Feat. Diamond Platnumz & Tiwa Savage .. ni hit ambayo ilishika sana kwen...
Hawa ndio waliokamatwa kuhusika na mauaji na kuwafanyia vurugu wageni South Africa..
Waziri wa Polisi Afrika Kusini, Nathi Nhleko . Kwa kipindi cha kama miezi miwili katikati ya March na May 2015 hali haikuwa nzuri Afri...
Pep Guardiola kuifudisha Timu ya Taifa Brazil? Hiki ndio kilichomwangusha !!
Pep Guardiola ni Kocha ambaye anaifundisha Klabu ya Bayern Munich , kwani ana mpango wa kuifundisha Timu yoyote ya Taifa? Dani Alves ka...
Wafahamu wanasoka bora wanaotamba kwa upigaji maji (pombe) watizame hapa>>>>>
Wataalamu wa michezo husema ili uwe ‘top athletic’ unahitaji kuwa mbali na pombe pamoja na sigara. Lakini philosophy hii haina mashiko sa...
55% ya washabiki wa Real madrid wanamtaka Ramos asepe club hiyo
Labda ni tofauti na vile ilivyotegemewa jinsi mashabiki wa Real Madrid wangelichukulia hili swala la Ramos kutaka kusepa kwenye club yao...
Mfaham Simon Msuva mchezaji bora aliyesajiliwa kwa sh 250,000>>>
Na Bertha Lumala, Dar es Salaam BAADA ya jana kumwangalia mshambuliaji Gaudence Mwaikimba, leo katika safu hii ya wasifu wa mchezaji an...
Emmanuel Okwi atimkia Denmark
Na Bertha Lumala, Dar es Salaam KIUNGO mshambuliaji wa Simba kutoka Uganda, Emmanuel Okwi anatarajiwa kuondoka kwenda Denmark kufanya m...
Inasemekana Emanuel Adebayo amebadili dini
Mshambuliaji wa kimataifa wa Togo Emmanuel Adebayor, miezi ya hivi karibuni amekuwa na akipitia kipindi kigumu katika klabu yake ya T...
Riquelme ajutia kutokujiunga na Manchester United
Mchezaji Juan Roman Riquelme wiki hii ameibuka na kutoa ya moyoni pale alipoulizwa na gazeti la michezo la nchini Uhispania, Mundo Depor...
Tusimwonee Mess pekeyake,Hawa ni wachezaji waliotamba kwenye Club lakini wakakwama kwenye timu za Taifa>>>>>
Johan Cruyff , Uholanzi (1966-77: Mechi 48 magoli 33) Alishinda mataji mengi akiwa na klabu ya Ajax, Barcelona na Fayenood, lakini...
Diamond Platnumz kwenye tuzo zingine nchini Uganda.
Msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za burudani nchini Uganda [ Uganda Entertainment Awards 2015 [UEA] ]. Dia...
Will Smith abwaga Kazi alizofanya na Kanye West,huyu ndio rapa aliyemchagua kwa kazi mpya.
Rapa na mwigizaji mkongwe duniani Will Smith amesema amekuwa akitumia muda mwingi studio na Drake wakifanya nyimbo zake mpya.
Diamond Platnumz asema Ay ndio aliyesababisha collabo na Davido,video na Godfather.
Entertainment Kwenye siku yake ya kuzaliwa msanii Ay amepokea salamu nyingi kutoka kwa watu maarufu Afrika na nje. Miongoni mwa watu...
Nakuleta karibu na video mpya ya Meek Mill Ft Future ‘Jump Out the Face’.
Baada ya show kali kwenye tuzo za BET na kutoa album mpya ya Dreams Worth More Than Money , rapa Meek Mill ametoa video mpya ya wimbo wak...
Karrueche Tran apozi bila bra kwenye picha za jarida la Flaunt
X Wa Chris Brown ameendelea kuonyesha kutohitaji uwepo wa Chris kwenye maisha yake, Karrueche Tran anaendelea na kazi zake uwanamitindo n...
Trey Songz hamtaji wala kumuimba baba yake,hii ndio sababu.
Star wa rnb Trey Songz amesema huwa anaepuka kumzungumzia baba yake kwenye mahojiano au nyimbo zake sababu hawajaongea kwa zaidi ya miaka...
Rihanna akiri kwa Karim Benzema kuwa bado anampenda Chris Brown ila….
Rihanna Ata baada ya kuanzisha mahusiano mapya na watu tofauti Rihanna bado anakiri kuwa Chris Brown ndio penzi la maisha yake. Chanzo...
Msanii wa Afrika aliyepata nafasi ya kuweka kazi zake kwenye TIDAL Ya Jay Z.
Mwana muziki kutoka Ghanaian D Black amekuwa miongoni mwa wasani wakubwa duniani kupata nafasi ya kazi zao kusikilizwa na kutazamwa kup...
Ally Nipishe kaipokea zawadi ya gari? maneno yake ni haya kwa Soudy Brown..
Staa wa Bongo Fleva Ally Nipishe alisimulia wiki iliyopita kuhusu kisa cha kukamatwa kwake na kuwekwa ndani kwa miezi mitatu baada y...
Drogba kawataja hawa mabeki kwamba ndio waliomsumbua zaidi Uwanjani..
Didier Drogba Gwiji wa zamani wa soka la kimataifa wa Ivory Coast na klabu ya Chelsea, Didier Drogba , ni mmoja wa washambuliaji bora...
Baada ya Mapenzi au Pesa, Nay wa Mitego kaachia hii nyingine ‘Sina Muda’…
Baada ya Nay wa Mitego kutoa ngoma yake ya ‘ Mapenzi au Pesa’ akimshirikisha Diamond, sasa amerudi tena na single nyingine inayojulika...
Majibu ya Diamond Platnumz kuhusu beef, uchawi, kulipia collabo, Team za mitandaoni..
Diamond Platnumz alikuwa live kwenye XXL @ CloudsFM , kuna vingi kaviongea Exclusive, nilipata nafasi kumsikiliza na...
Super Nyamwela karudi Twanga Pepeta, atotoka tena?
. Ni headline zilizotawala kwenye upande wa muziki wa bendi kuwa mwimbaji na mnenguaji wa muziki wa densi nchini, Hassan Mussa aka Supe...
Top 10 ya Hip Hop Trace TV July 6,2015
. Najua kuna watu walikuwa na hamu ya kufahamu video za Hip Hop zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye c...
Jerry slaa kashea hii ramani ya soko la kisasa la kisutu!
. Baada ya kuvunjwa kwa baraza la halmashauri ya Manispaa ya IIala July 6,2015 na aliyekuwa meya wa manispaa ya I...
Picha,Kid Ink amvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Asiah Azante.
Rapa Kid Ink uliyemsikia kwenye hit song ‘Show Me’ amefanya maamuzi ya kupiga hatua nyingine kwenye mahusiano yake kwa kumvalisha...
Kurasa ya Facebook ya staa wa Kenya yachukuliwa na wahalifu wa mtandaoni.
Ukurasa wa facebook wa rapa Rabbit umevamiwa na wahalifu wa mitandaoni. Kupitia kurasa yake ya instagram Rabbit alisema yeyote atakaye j...
Wasanii na silaha,Burna Boy aonyesha bastola yake.
Msanii kutoka Nigeria aonyesha watu silaha yake, Ni Burna Boy akiwa na semi-automatic pistol aliyoiweka instagram ikiambatana na ujumbe kuw...
Picha,Miley Cyrus amepigwa picha akimbusu mwanamitindo wa Victoria Secret .
Staa wa muziki wa pop Miley Cyrus amepigwa picha akimbusu mdomoni mwanamitindo wa chapa ya Victoria Secret . Miley alikuwa huko Los Angele...
Meek Mil asema hawasikilizi Kendrick Lamar na J Cole,hawamshawishi na muziki wao.
Rapa Meek Mil anayetangaza album yake mpya Dream Worth More Than Money amesema yeye sio mpenzi wa muziki wa J. Cole na Kendrick Lamar, a...
Huyu Ndio Mnigeria aliyepewa dili na G Unit ya 50 Cent,anavipaji vingi.
Rapa 50 Cent ambaye ni mmiliki wa lebel ya G Unit ameongeza orodha ya vipaji kwenye lebel yake baada ya kuingia mkataba na mwimbaji kut...
Nakuleta karibu na Video mpya ya Kcee Ft Diamond Platnumz ‘Love Boat’
Msanii wa muziki wa Afrobeats Kcee aliyefanya kazi na Shetta wa Tanzania amekamilisha video yake mpya ya wimbo aliofanya na Diamond Pl...
Hivi ndivyo Don Jazzy anavyowatajirisha wasanii wake.
Kampuni kubwa ya simu Africa Globacom imeingia mkataba wa ubalozi na wasanii watatu wakubwa wa lebel ya Don Jazyy ‘Mavin Records’. Was...
The Game amchimba mkwara Young Thug kuhusu kuzinguana na Wizzy.
Sio tu Lil Wayne mwenye beef na rapa wa Rich Gang ‘Young Thug’ ila sasa The Game pia ametangaza rasmi kuwa na beef na huyu jamaa kama a...
Rapa The Game amesema bado analipwa pesa nyingi tu na kundi lake la zamani la G Unit.
Rapa The Game amesema bado analipwa pesa nyingi tu na kundi lake la zamani la G Unit. Akiongea na Tmz The Game amesema “Zaidi ya dola m...
Kazi anayotaka kufanya mtoto wa kwanza wa Obama yajulikana.
Entertainment Mtoto wa kwanza wa rais wa Marekani Malia Obama ’17’ ameanza harakati zake za kutaka kuwa mwigizaji na muongozaji a fi...
Mjue Amour Janja muuwaji wa Yanga aliyetua JKT Ruvu>>>>
Janja (kulia) Na Bertha Lumala, Dar es Salaam KUANZIA leo tutakuwa kila siku tunawaletea wasifu wa mchezaji mmoja anayechezaji Tanzani...