Laptop iliyovunja rekodi kwa 2016, nyembamba
Kampuni ya watengenezaji wa laptop za Lenovo kutoka China wamethibitisha kwamba mwaka 2016 wanakuja kuiandika rekodi mpyampya Duniani. ...
Rais Mugabe bila woga kaeleza yote aliyoambiwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete juzi.
Moja ya vitu ambavyo vilizungumzwa na Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kwenye kikao cha Umoja wa Afrika Addis Ababa Ethiopia ni...
Drake kajibu hivi diss ya Meek Mill,ujumbe wake kwa Barack Obama,viko hapa.
Rapa Drake anasikika kwenye wimbo mpya wa “Summer Sixteen” akiongelea issue tatu ikiwa moja kuhusu Meek Mill, nyingine ni kujifananisha n...
Pop staa Justin Bieber afumwa kwenye mgahawa wa mashoga.
Pop staa kutoka Canada Justin Bieber amefumwa kwenye mgahawa wa mashiga ulioko North Hollywood. Justin Beiber aliingia kwenye mgahawa wa ...
Album mbili kubwa zafikia level ya platinum.
Baada ya mafanikio ya mauzo ya album ya Drake, J Cole na Rihanna album zingine zimetangazwa kufikia mauzo ya platinum. Album mbili kubwa...
Hii video mpya ya Puff Daddy Ft French Montana & Zoey Dollaz ‘Blow a Check’.
Puff Daddy ametoa video mpya ya wimbo wa “Blow a Check (Bad Boy Remix),” kutoka kwenye album ya kundi ya mwaka jana MMM. Kwenye wimbo w...
Davido kusheherekea dili lake la Sony kwa kutoa pesa kwa shabiki
Staa wa muziki kutoka Nigeria atatoa Naira milioni 2 kwa shabiki kama sehemu ya kusheherekea dili lake la Sony la dola milioni moja. ...