Ads (728x90)

Tabs

Page

mimba
Wachezaji wengi wa ligi kuu ya England na hata ya Tanzania bara  kwa sasa wapo katika mapumziko mafupi baada ya ligi kuu kumalizika huku wakisubiri msimu mpya kuanza.
Wanasoka wengi hasa wa Ulaya wamekuwa
wakitumia muda wao mwingi kukaa beach na familia zao huku wakifurahi pamoja huku wakijipumzisha.
Nahodha wa Manchester United, Wyne Rooney ameamua kujipumzisha na familia yeka katika visiwa vya Barbados akila bata.
Mcheki hapa….
wife
Mke wa Rooney aitwaye Coleen akiwa  na mtoto wao Kai
ten
kai
roo
rooo
kaii
sita tako
mimba
na bb

Post a Comment