Baada ya show kali kwenye tuzo za BET na kutoa album mpya ya Dreams Worth More Than Money,
rapa Meek Mill ametoa video mpya ya wimbo wake “Jump Out the Face” ft
Future. Kwenye hii video mpya anaonekana staa Rick Ross
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment