55% ya washabiki wa Real madrid wanamtaka Ramos asepe club hiyo
Labda ni tofauti na vile ilivyotegemewa jinsi mashabiki wa Real Madrid wangelichukulia hili swala la Ramos kutaka kusepa kwenye club yao.
Labda wangembembeleza kubaki lakini
kutokana na survey iliyofanyw na gazeti maarufu la michecho la huko Huspania (AS) limetoa ripoti kwamba 55% ya mashabiki wa Real Madrid wanataka mchezaji huyo asepe kwenye hiyo club. Wakati 45% tu ndio wanataka abaki.
Real Madrid kwa sasa wamesema hawata muuza Ramos kwa gharama ya chini ya €90 million. Survey nyingine ya gazeti la A.S imetoa majibu kuhusu utata wa thamani ya mchezaji huyu, asilimia 22 ya mashabiki wa Real Madrid wamesema kwamba Ramos asiuzwe kwenye club yoyote ya EPL chini ya €60m
Post a Comment