Mawasiliano muhimu sana mtu wangu, ndio maana watu wengi wanaona umuhimu wa kuwa na smartphone ili mawasiliano ya njia nyingi yaweze kumf...
Utafiti uliofanywa umeonyesha Unene wa mwanaume huathiri mbegu za kiume
Utafiti uliofanywa nchini Denmark umeonyesha uzani wa mwanamume huathiri seli za mbegu za kiume na huenda ukachangia katika kuwafanya wato...
Cheki na hii Video ya Barack Obama akiimba Hotline Bling ya Drake.......
Hii video ipo kwenye channel ya youtube inayohusisha video tofauti za rais Barack Obama,hii inamuonyesha kwenye matukio tofauti na maneno...
Lipstick za Drake zanunuliwa zote dakika chache tu baada ya kuingia sokoni.
Lipstick za rapa Drake alizobuni kupitia brand ya Tom Ford zimemalizika dukani ndani ya dakika chache za kuingia sokoni. Lipstick hizi zi...
Kendrick Lamar na ScHoolboy Q wakanusha taarifa za kupigana studio.
Rapa Kendrick Lamar na ScHoolboy Q wamekanusha taarifa kuwa walipigana studio weekend hii. Wasanii hawa wa kundi la TDE walitumia twitte...
Hii video mpya ya Dj Maphorisa Ft Wizkid & Dj Buckz ‘Soweto Baby’ itazame hapa.
Hii video mpya ya Dj Maphorisa na Producer kutoka Kundi la Uhuru Africa Kusini,kwenye wimbo huu kawashirikisha Wizkid & Dj Buckz. W...
Ripoti kutoka Zanzibar kuhusu ajali ya moto kwenye meli December 15..
Hii stori imenifikia baada ya kuenea kwenye mitandao pamoja na picha zikionesha tukio ...
China hali sio nzuri, imebidi wanunue hewa safi kwenye chupa hizi..
Kumekuwa na ripoti mfululizo kuhusu ishu ya hali mbaya ya hewa iliyokumba nchi ya China ikafikia hatua mpaka baadhi ya viwand...
Kufuru nyingine ya bondia Floyd Mayweather na hii saa ya milioni 200..
Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather yupo mapumzikoni dubai. Kama sehemu yake ...
Hikihapa kichupa kipya toka kwa Chris Brown, ‘Wrist’ feat. Solo Lucci {VIDEO}
Staa wa muziki kutoka Marekani, Chris Brown anazidi kuzisogeza videos kutoka kwenye album yake ya saba, Royalty . Baada ya k...