Kundi la Bracket kutoka Nigeria waliachia ngoma ya ‘Alive’ Feat. Diamond Platnumz & Tiwa Savage.. ni hit ambayo ilishika sana kwenye TV na radio kubwa Afrika.
Jamaa wamerudi tena mtu wangu, wameachia video yao mpya inayoitwa ‘Panya’ alieshirikishwa hapo anaitwa Tecno.
Bracket Feat. Tecno– ‘Panya’ yenyewe ndio hii hapa sasa.
Post a Comment