Ads (728x90)

Tabs

Page

D-Black
Mwana muziki kutoka Ghanaian D Black amekuwa miongoni mwa wasani wakubwa duniani kupata nafasi ya kazi  zao kusikilizwa na kutazamwa kupitia mtandao wa Jay Z wa TIDAL.
Hii itakuwa nafasi nyingine ya msanii D Balck
kutengeneza pesa mtandaoni kwenye mtandao huu unaomilikiwa na Jay Z huku wasanii wengine wakubwa kama Beyonce, Usher, Rihanna, na Nicki Minaj wa kiwa hisa.
Mpaka sasa TIDAL mpaka sasa ina nyimbo milioni 30 na watumiaji laki saba.

Post a Comment