Russell Wilson ambaye ni Mpenzi wa msanii wa rnb Ciara amesema hata
baada ya miezi miwili kwenye mahusiano ya motomoto yeye na Ciara
hawajakutana kimwili aka hawaja DO.
Kwenye interview aliyofanyiwa na kanisa la
San Diego Rock mjini
California, Russell amesema wanaimani kuwa ikiwa muda umefika Mungu
atawajulisha tu na ndio wanachotegemea zaidi kwenye mahusiano yao.
Wilson amesem “Kama umaweza kuishi na kumpenda mtu bila ngono basi kweli unampenda huyo mtu”.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment