Taarifa
ilianza kuenea jioni ya July 07 2015 kwenye kuhusu ajali ya Helicopter
iliyokua imebeba Wanachadema mbalimbali akiwemo mbunge Arumeru Mashariki
Joshua Nassari.
Kwenye ukurasa wa Twitter wa CHADEMA zimewekwa post kwamba
Mbunge Joshua Nassari ndiye
aliyepata ajali hiyo ya Helicopter, amepelekwa Hospitali kwa ajili ya
matibabu pamoja na rubani na watu wengine ambao hawajatajwa, ni baada ya
kunusurika.millardayo.com inaendelea kufatilia zaidi na chochote kitakachopatikana iwe usiku au mchana utakipata hapahapa.
Post a Comment