ENTERTEINMENT Picha,Kid Ink amvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Asiah Azante. Christian Ngoti 8:40 AM A+ A- Print Email Rapa Kid Ink uliyemsikia kwenye hit song ‘Show Me’ amefanya maamuzi ya kupiga hatua nyingine kwenye mahusiano yake kwa kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu Asiah Azante. Pete aliyomvalisha nu ya Almasi ila haijatajwa gharama yake.
Post a Comment