Australia wanahalalisha matumizi ya Bangi? Hiki ndio kinachofatia kwa sasa..
Kuna idadi kubwa ya Majimbo Marekani wao hawana tatizo kabisa na masuala ya Bangi… im...
Vurugu Tunduma;wawili wafariki dunia
Tunduma hali tete chadema vs ccm....watu wawili wamefariki mmoja toka ccm mwingine chadema baada ya kutokea vurugu.Wanachama wa ccm wali...
Ghasia za Jerusalem za zua haya.....
Ghasia za Jerusalem Polisi wa Israeli wanasema kuwa wamemuua kwa kumpiga risasi mwanamume Mpalestina mjini Jerusa...
Siri ya kumfanya mwanao awe na akili
Unashangaa? Yes, unaweza kumfanya mwanao awe smart kwa chakula tu! Ndio coz kuna vyakula vinarutubisha ubongo kuliko vingine, sasa uki...
Kituo cha Televisheni Nchini Uswizi Kimeanza Kutumia iPhone 6S Kama Mbadala wa Kamera za Kawaida
Kituo cha Televisheni Nchini Uswizi Kimeanza Kutumia iPhone 6S Kama Mbadala wa Kamera za Kawaida
HAWA NDIO WACHEZAJI WALIO HAMA KUTOKA LIGI MOJA KWENDA NYINGINE
Hii ni orodha ya wachezaji ambao wamehama au kuhamia klabu nyingine ulimwenguni kote (ligi moja kwenda lingi nyingine) . Jason Denayer [...
MADEE ATOA NENO MICHUANO YA MAGUFULI CUP
Madee akizungumza kabla ya kuanza kwa mchezo Mabgufuli Cup #Hapa Kazi Tu Msanii kutoka kundi la Tip Top Connections Madee maar...
KWA MARA YA KWANZA ALEX SANCHEZ KAZUNGUMZIA KUHUSU YEYE NA MADRID
Zilitoka ripoti kwamba Real Madrid wanaandaa pesa kwa ajili ya kumsajili mchezaji ambae anatoa msaada mkubwa kwenye kila ushindi w...
Mechi 8, Assist 1, Zero Goli – Yupo Wapi Fabregas Wa Msimu Uliopita?
Mourinho hana utaratibu wa kubadilisha badilisja safu ya ulinzi – kawaida yake hutumia safu ile ile msimu wote. Nemanja Matic yupo nje ...
Hii hapa ile kolabo ya Fally Ipupa ft 2Face Idibia --Sweet life
Fally Ipupa ameingia kwenye headlines za burudani baada ya kumshirikisha staa wa Nigeria 2Face Idibia katika remix ya ngoma ...
Ushindi ni wa Diamond MTV EMA?! imetangazwa hivi na MTV BASE..
Hii good news imekuja siku chache baada ya ushindi wa tuzo za AFRIMMA 2015 ambazo zili...
Siku Rihanna na Karrueche Tran walikutana uso kwa uso ilikuaje? Chris Brown mwenyewe anaongea
Kuna kipindi Chris Brown aliweka headlines za kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na w...
Tweet ya mwisho ya January Makamba kuhusu Helikopta za CCM na ajali iliyotokea.
Usiku wa kuamkia leo October 16 2015 headlines za siasa Tanzania zimetawaliwa na ajali ya Helikopta ambayo imeanguka na kulipuka kwenye mb...
Dyna Nyange anasema yeye ni team UKAWA lakini hii iwafikie Watanzania wote.
Ni mwimbaji wa bongofleva Dayna Nyange ambaye ameungana na mastaa wengine wa Tanzania k...
Bado siku 9….. hizi ni picha za CCM na UKAWA ndani ya saa 24 zilizopita.
Kwenye hizi siku chache zilizobaki kabla ya Watanzania kupiga kura, headlines za sia...
Adhabu aliyopewa Juma Nyosso kwa kosa la kumfanyia kitendo cha udhalilishaji John Bocco.
Kamati ya uendeshaji ya ligi kuu Tanzania Bara imemfungia Nahodha wa Mbeya City Juma Nyosso kutocheza soka kwa miaka miwili na faini ya...
John Legend na mke wake Chrissy watangaza kuwa wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza.
Mwimbaji John Legend na mke wake Chrissy Teigen wametangaza kuwa wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza kwenye ndoa yao. Chrissy alishar...
Hizi nyimbo 3 mpya kutoka kwa Dj Khaled “Gold Slugs”,“You Mine” na “I Don’t Play About My Paper,”zipo hapa.
Hizi nyimbo tatu mpya kutoka kwa Dj Khaled zipo kwenye album yake mpya ya I Changed a Lot . “Gold Slugs” ,“You Mine” na “I Don’t Play Ab...
Entertainment Video mpya ya Skales ‘LO LE’ itazame hapa.
Msanii wa Baseline Music ‘Skales’ ametoa video yake iliyosubiriwa kwa muda sasa ‘LO LE’. Wimbo huu upo kwenye album yake ya MAN OF THE ...