Kabla
ya kuanza unatakiwa kujipiga picha ili uweze kuangalia kabla hujaanza
kufanya hii treatment na baada ya siku saba ya hii treatment ya kuondoa
mikunjo.
Na si kwa ajili ya uso tu ni kwa sehemu zote za mwili.
Nunua chupa ya Aloe vera Gel ambayo unaweza kupata kwenye maduka ya kuuzia madawa ya binadamu au maduka ya urembo.
Safisha uso wako kwa kutumia cleanser yoyote ambayo inaendana na uso wako kama Noxema, Neutorgena, Biore, and Oil of Olay.
Kisha osha na maji ya uvuguvugu always usitumie maji yaliyo na moto sana kusafisha uso alafu ukaushe uso wako.
Weka
kiasi cha Aloe Vera Gel kwenye mkono then rub ur hands together
(samahani kiswahili kigumu) alafu paka kwenye uso wako avoid isiingie
kwenye macho.
Baaada ya kupaka Aloe Vera Gel unaweza kupaka cream unayotumia au lotion kwenye uso ila usisubiri Aloe Vera Gel ikauke .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment