Top 10 ya Hip Hop Trace TV July 6,2015
Najua kuna watu walikuwa na hamu ya kufahamu video za Hip Hop zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa.
kwa mara nyingine
tunajiunga na kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa kuangalia hii top 9 yao ya nyimbo kali za Hip Hop wiki hii.
9.Kid Ink- Be Real ft Dej Loaf
8.Big Sean – Blessings ft Drake, Kanye West
7.Fetty Wap – Trap Queen
6.Future – F*ck Up some commas5.Jidenna – Classic man ft Roman GianArthur4.J Cole – Wet Dreamz3.Wiz Khalifa – See you again ft Charlie Puth2.Wale ft Usher – Matrimony1.Rich Homie Quan – Flex
Post a Comment