Rihanna akiri kwa Karim Benzema kuwa bado anampenda Chris Brown ila….
Chanzo cha info
hizi kimesema Rihanna amemwambia mpenzi wake mpya ambaye ni mwanasoka Karim Benzema kuwa bado anahisia za mapenzi kwa X wake Chris Brown.
Karim Benzema ’27’ ameonekana kuwa huru na wazi kuhusu Rihanna bila kujali kuwa bado anamkubali Chris Brown.
HollywoodLife.com wameandika “Rihanna anampenda Karim sababu jama anatengenea mazingira mazuri ya penzi lao, Rihanna kamwambia Karim kuwa hatavunja moyo wake ila bado anampenda Chris Brown“.
Post a Comment