Rapa na muigizaji 50 Cent amesema Eminem anakubali kipaji chake cha
kuigiza na ameipenda filamu yake mpya ya Southpaw. 50 Cent na muigizaji
Jake Gyllenhaal wapo kwenye kurasa ya mbele ya jarida la VIBE kwenye
toleo la mwezi wa nane.
50 Cent amesema Eminem alitakiwa kucheza kwenye filamu hio ila baadae
aliamua kuwa producer wa nyimbo zilizotumika kwenye filamu hio.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment