Ads (728x90)

Tabs

Page

meek mil
Rapa Meek Mil anayetangaza album yake mpya Dream Worth More Than Money amesema yeye sio mpenzi wa muziki wa J. Cole na Kendrick Lamar,  anajiona kama sio mlengwa wa muziki wao, haumshawishi chochote.

Meek anasema wasanii anaowasikiliza ni Future, Dej Loaf, Young Thug na Jay Z.
Meek Mil anasema miaka mitano iliyopita alitabiri kuwa na Nicki Minaj wakati anaangalia video ya ‘Bed Rock’ na aliandika twitter akiwa na washkaji zake.

Post a Comment