Mkongwe wa klabu ya Liverpool Steven Gerrard jana ametambulishwa rasmi kwenye klabu yake mpya ya LA Galaxy ya nchini Marekani
Baada ya kutambulishwa rasmi,
nahodha huyo wa zamani wa ‘The reds’ amekabidhiwa jezi namba nane ambayo
ndio aliyokuwa anaivaa wakati akiwa Liverpool.
Utambulisho huo uliambatana na maneno haya:
‘Welcome to Los Angeles, Steven Gerrard! #GR8NESS’.
Post a Comment