Iker Casillas amekataa kuwagwa uwanjani na Real Madrid
Iker Casillas inaonekana hajapenda jinsi Real Madrid inavyomuuza kwenda Porto ikiwa yeye ndoto yake kubwa ilikua ni kumaliza soka lake ndani ya Real Madrid.
Ilibidi Casillas aagwe kwenye mechi na mashabiki wa
Real Madrid lakini ripoti zinasema kwamba mchezaji huyo hajapenda jinsi anavyomalizana club hiyo iliyomlea toka utotoni.
David De Gea ndio kipa pekee anayetegemwa kuchukua mikoba ya kipa huyo japokua bado De Gea yupo Manchester united
Post a Comment