Entertainment
Mtoto wa kwanza wa rais wa Marekani Malia Obama ’17’ ameanza harakati zake za kutaka kuwa mwigizaji na muongozaji a filamu.
Malia ameonekana huko Brooklyn na kundi la watayarishaji na waigizaji wa
“Girls” hivi karibuni huku mashabiki wakifahamishwa kuwa hatacheza kwenye filamu hii ila ndio anajifunza mambo hayo.
Malia alionyesha kupenda kuwa mwigizaji na hata kuonekana kwenye tamthilia ya Halle Berry “Extant.”
Post a Comment