Staa wa Bongo Fleva Ally Nipishe alisimulia
wiki iliyopita kuhusu kisa cha kukamatwa kwake na kuwekwa ndani kwa
miezi mitatu baada ya kununua gari ambayo
ilikuwa ya wizi.
Soudy Brown leo kamwandalia surprise, dada mmoja kajitolea kumnunulia Ally Nipishe gari ili kumfuta machozi msanii huyo lakini mwenyewe alikataa kabisa kuipokea zawadi hiyo.
Ally Nipishe alishangazwa na surprise hiyo, huyu dada anasema yeye ni shabiki yake tu, kaguswa na matatizo yaliyompata Ally akaona amnunulie gari kumpunguzia machungu ya tatizo ambalo liliwahi kumkuta staa huyo.
U Heard iko hapa, sikiliza ilivyokuwa wakati Ally Nipishe anataka kupewa zawadi hiyo.
Post a Comment