Huu wimbo mpya wa Navy Kenzo [Aika na Nahreel] uliopewa jina ‘Game’ wamefanya na Vanessa Mdee. Wimbo umetayarishwa na producer Nahreel.
Ronaldo anarudi Man United? Vipi Benitez anaweza kuwa chanzo cha tofauti zao?
Zaidi ya saa 48 zimepita toka habari kuhusu uhusiano mbaya kati ya mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispa...
Hatimaye Chris Brown karuhusiwa kuondoka Ufilipino… amesema haya kuhusu kuzuiliwa kwake!
Baada ya kuzuiliwa kutoka nchini Ufilipino kwa siku mbili hatimaye Chris Brown kaachiwa huru na kuondoka salama ka...
Wagombea Urais UKAWA bado? Wajawazito feki kwenye BVR, Rufaa ya akina Mramba, waliochoma moto familia..
MWANANCHI Wakati leo saa 10 jioni ndiyo muda wa mwisho uliopangwa kurejesha fomu za kuomba kuteuliwa kuwania Urais ndani ya CHADEMA, ...
Video ya staa wa Bongo Fleva namba moja kwenye countdown ya Nigeria!!
Muziki wa Tanzania unazidi kufanya vizuri kwenye nchi za Kiafrika mtu wangu. Tumeona Vanessa Mdee na Diamond Platnumz wakiiwakilisha...
Video ya Rais Obama aliposalimia kwa Kiswahili Kenya
Ndege ya Rais Obama ilitua July 24 2015 saa mbili usiku Jomo Kenyatta International Airport , Historia ikaandikwa kwa Rais huyo wa kwan...
Picha 6 za jumba la Asamoah Gyan lenye thamani ya bil 6
Asamoah Gyan ni mmoja wa wachezaji wanaolipwa vizuri kutoka katika bara la Afrika, na hakuna uthibitisho mzuri wa k...
Davido asema Tanzania ni kama nyumbani kwao,anafanya collabo na Ali Kiba
Davido asema Tanzania ni nchi ya pili kuichukulia kama nyumbani ndio maana alipost bendera ya Tanzania hivi karibuni. Davido ambaye ames...
Video mpya ya Rick Ross ‘Family Ties’ iko hapa
MMG boss Rick Ross ametoa video ya wimbo wake “Family Ties,” kutoka kwenye album yake ya mwaka jana ya Hood Billionaire. Kwenye video...
Hii Video mpya ya Kid Ink ‘Faster’ itazame hapa.
Kama tunavyoona gari na mwendo wa kasi kwenye filamu za Fast and furious, ndicho kitu Kid Ink amefanya kwenye video yake ya “Faster” ku...
Shilole Atoboa Sababu ya Kuachana na Nuh Mziwanda
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amedai kuwa wivu ndiyo uliosababisha yeye na mchumba wake Nuh Mziwanda kuac...
IT’S OFFICIAL ARTURO VIDAL NI MCHEZAJI WA BAYERN MUNICH
C.E.O wa Bayern Munich ame-conferm kuhusu usajili wa Vidal kujiunga na club yao leo hii. Karl-Heinz Rummenigge ametoa taarifa rasmi kwa v...
Master J Aeleza Kwanini Aliachana na Mke Wake ‘Watu Waelewe tu Kuwa ni Bonge la Mwanamke’
A - Print Email Master J ameamua kuweka wazi sababu za kuachana na mke wake aliyezaa naye watoto watat...
Rais wa Uganda Yoweri Museveni atoa wimbo mpya wa kampeni!
Wimbo mpya umetolewa nchini Uganda mwimbaji akiwa rais wa Uganda Yoweri Museveni . Lakini bado bado haijafahamika wazi ikiwa yeye binafs...
Wayne Rooney amesema yuko tayari kuwa mfungaji bora wa Manchester Unites kwa mara nyingine
Wayne Rooney amesema yuko tayari kuwa mfungaji bora wa Manchester Unites kwa mara nyingine na amewapa changamoto wenzake ya kuandika Hi...
Huu wimbo mpya wa Mr Blue ‘Changamoto’ usikilize hapa
Baada ya kutoa video na Navio wa Uganda, Mr Blue ametoa wimbo wake mpya ‘Changamoto’ usikilize hapa kwa kubonyeza Play.
Haya ndio maamuzi ya Wanafunzi Chuo Kikuu Nairobi kwa vile Obama hatowatembelea? (Pichaz & Video)
Babu Owino ni Kiongozi wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu Nairobi , aliwasilisha barua yake kwa Balozi wa Marekani ambaye yuko Ken...
Ni kweli mali nyingi za 50 Cent ni za mkopo? Na vipi kuhusu mapato yake kimuziki!?
50 Cent akiwa anachukuwa kiapo Mahakamani jana kwenye Mahakama ya Manhattan Supreme Court. Ni siku chache tu zimepita toka rappa na mfa...
Hukumu ya wale mashabiki wa Chelsea waliofanya ubaguzi kwa mtu mweusi kwenye treni…
Unawakumbuka wale mashabiki wa Chelsea waliomshusha shabiki mwenzao kwenye treni ya Paris Metro kisa ana asili ya kiafrika? Mahakana y...
Maneno ya Louis van Gaal ina maana kakasirishwa na Schweinsteiger?
Matarajio ya mashabiki wa timu mbalimbali za soka duniani ikitokea wachezaji wamesajiliwa na timu zao kwa ada kubwa ya uhamisho, wanasu...
Picha,The Game kapania, anarekodi album ata akiwa uwani.
Rapa The Game ameonyesha juhudi na ubunifu wa kutopoteza muda wakatiwakurekodi album yake mpya ya The Documentary 2. The Game ameweka p...