Ads (728x90)

Tabs

Page

puff
Rapa Puff Daddy anaelekea kustaafu muziki baada ya kutangaza album yake ya mwisho.Pdd ambaye ni msanii wa hiphop mwenye pesa nyingi zaidi duniani amemtumia msanii wake mpya wa Bad Boy Entertainment ‘Gizzle‘ kutangaza kuwa album yake
ya mwisho itakuwa ni ‘ No Way Out 2′ ambayo ni muendelezo wa ‘No Way Out 1′ album yake ya mwaka 1997 wakati anatoka.
Awali Pdd alitangaza kutoa album ya MMM (Money Making Mitch)  ila imewekwa pembeni kwaajili ya hii project.

Post a Comment