Ads (728x90)

Tabs

Page



game-young-thug
Sio tu Lil Wayne mwenye beef na rapa wa Rich Gang ‘Young Thug’ ila sasa The Game pia ametangaza rasmi kuwa na beef na huyu jamaa kama ataendelea kumfuatili Lil Wayne.
Kwenye show yake huko New Orleans The Game ambaye anatoka Compton MC alimdiss Young Thugkwa kusema “Anybody fucking with Tune, gotta fucking problem with me. I will fuck Young Thug up. I’m a Piru, nia. Westside, nia.”
Mtu yeyote mwenye tatizo na Wizzy basi anatatizo na yeye pia

Post a Comment