Msanii wa Ghana Stonebwoy aliyeshinda tuzo ya Best International Act
Africa ya BET 2015 amesema msanii mwenzake kutoka Ghana ‘Sarkodie’ ndio
Jay Z wa nchi yao.
Kwenye interview na jarida la
Noisey, alisema “tuna wimbo tumefanya na JD Era na Sarkodie ambaye ndio Jay Z wa Ghana.”
Stonebwoy amesema wimbo wake wa Hills and Valley na dili la lebel ya Samini ndio vimefungua milango y mafanikio yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment