Ads (728x90)

Tabs

Page


Entertainment


davidoo
Kwenye siku yake ya kuzaliwa msanii Ay amepokea salamu nyingi kutoka kwa watu maarufu Afrika na nje. Miongoni mwa watu hao alikuwa msanii Diamond Platnumz aliyeandika baadhi ya mambo aliyofanikisha kwenye muziki wake kupitia Ay.

Hii no post ya maneno ya Diamond Platnumz.
Misingi na Daraja Imara la kimataifa ulio tujengea na unayozidi kutujengea ndio leo inatusaidia vijana wako nasi kuweza kupenyeza na kutangaza kazi zetu kimataifa…Pengine watu Hawajui kuwa wewe ndio Uliye niwezeshea kufanikisha Collabo langu na Davido, Kuni Unga na Godfather na vingi ambavyo naamini ndio Mwanzo wa safari yangu ya Kimataifa… Nakuheshim sana Brother, na daima nitahakikisha sikuangushi…Happy birthday Bro
d 2

Post a Comment