Kwa watu wangu wa soka la Tanzania kama
topic ya Pengo la mchezaji Mrisho Khalfan Ngassa kuonekana Yanga baada
ya mchezo huyo kwenda kuichezea timu ya Freestate Stars inayoshiriki
ligi kuu ya soka nchini Afrika Kusini maarufu kama
PSL
Kama iliwahi kukufikia basi imemfikia pia mchezaji wa Yanga FC ,Hamis Tambwe ambaye ameeleza kwamba...’Unajua
timu ni kuwa pamoja na mnapokua lazima mzoeane sasa Ngassa tulikuwa
tumeshazoeana kwa hiyo mwingine anakuja tutazoeana tu vile vile‘ – Hamis Tambwe
Post a Comment