Baada ya kuvunjwa kwa baraza la
halmashauri ya Manispaa ya IIala July 6,2015 na aliyekuwa meya wa
manispaa ya Ilala, Jerry Slaa kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram
amepost
miongoni mwa kazi zitakazotekelezwa kwa wananchi ikiwemo huu
ujenzi wa soko la kisutu ambalo muda si mrefu litaanza kufanyiwa
maandalizi ya kujengwa.
‘Soko la
Kisasa la Kisutu Ujenzi wake utaanza muda si mrefu kwa mkopo wa
TIB,litamilikiwa kwa 100% na halmashauri ya manispaa ya Ilala
Nitakumbukwa Kwa Lipi’aliandika @jerrysilaa
Post a Comment