Rapa na mwigizaji mkongwe duniani Will Smith amesema amekuwa akitumia muda mwingi studio na Drake wakifanya nyimbo zake mpya.
Will amesema hayo Kupitia kipindi kipya cha radio alichoanzisha mtoto wake ‘Jaden Smith’ Beats 1 radio show.
Mwezi wa pili mwaka huu Will Smith akitngaza kuingia studio na Kanye
West ila baada ya muda hakupenda kazi alizofanya na Kanye West.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment