Staa wa muziki wa pop Miley Cyrus amepigwa picha akimbusu mdomoni mwanamitindo wa chapa ya Victoria Secret .
Miley alikuwa huko Los Angeles akifanya video yake mpya na
wakati wa mapumziko ndipo kilikamatwa kitendo hicho.
Mwanamitindo huyo anaitwa Stella Maxwell na yeye na Miley wamekuwa marafaki kwa muda mrefu sasa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment