Johan Cruyff, Uholanzi (1966-77: Mechi 48 magoli 33)
Alishinda
mataji mengi akiwa na klabu ya Ajax, Barcelona na Fayenood, lakini
hakuwahi kutwaa taji hata moja akiwa na timu ya taifa ya Uholanzi.
Alishinda makombe 10 kwenye
ngazi ya vilabu lakini mkongwe huyo
alishindwa kutwaa kombe lolote kwenye timu yake ya taifa.
Uholanzi
ilikuwa mshindi wa pili kwenye kombe la Dunia lililofanyika Ujerumani
nMagharibi mwaka 1994 na wenyeji wakatwaa kombe na Uholanzi ikashika
nafasi ya tatu kwenye michuano ya Euro mwaka 1976 nchini Yugoslavia.
Ferenc Puskas, Hungary (1945-55: 85 Mechi, magoli 84), Hispania (1961-62: Mechi 4 , magoli 0)
Hungary
ilitawala mchezo wa soka miaka ya 1950. Puskas kama ilivyo kwa Messi,
alishinda medali ya dhahabu kwenye michuano ya Olympic 1952 na
hawakupoteza hata mmoja kwa kwa miaka minne mpaka wanacheza michuano ya
kombe la dunia mwaka 1954.
Walifika
hatua ya fainali na Puskas alifunga goli kwenye mchezo huo lakini baade
walichezea kichapo cha goli 3-2 na Ujerumani Magharibi na kupoteza
mchezo huo. Puskas aliweka historia ya kufunga magolin 84 kwenye mechi
85 alizocheza akiwa na timu yake ya taifa.
Eusebio, Ureno (1961-73: Mechi 64, magoli 41)
Aliweza kuandika historia kubwa kwenye mchezo wa soka wa kutwaa mataji 11 na taji moja la Ulaya akiwa na klabu ya Benfica.
Mshindi
huyo wa Ballon d’Ormwaka 1965 alikaribia kucheza fainali ya kombe la
dunia wakti timu yake ilipomaliza nafasi ya tatu kwenye michuano hiyo ya
kombe la dunia ya mwaka 1966.
Zico, Brazil (1976-86: 71 Mechi, 48 magoli)
Tuzo
alizoshinda kama mchezaji binafsi ni nyingi. Ni mchezaji ambaye
aling’ara mwishoni mwa miaka ya 1970 na mwanzoni mwa 1980, ambapo Pele
alishawahi kumtaja kuwa ni miongoni mwa wajezaji bora duani.
Zico
alishuhudia Brazil ikimaliza nafasi ya tatu kwenye kombe la dunia la
mwaka 1978 na aliifikisha robo fainali mwaka 1986 lakini kamwe hakutwaa
ndoo akiwa na Brazil.
Paolo Maldini, Italy (1988-2002: Mechi 126, magoli 7)
Maldini
alishinda vikombe saba vya ligi ya Italia (Serie A) akiwa na AC Milan
vikombe vitano vya kombe la Ulaya, lakini alipokuwa akiichezea timu ya
taifa hakuambulia kitu.
Italia
ilikuwa mshindi wa pili kwenye kombe la dunia la mwaka 1994 pamoja na
Euro mwaka 2000, huku ikiambulia nafasi ya tatu kwenye michuano ya kombe
la dunia mwaka 1990 na nusu fainali kwenye michuano ya Euro mwaka 1988.
Maldin
alitundika daruga akiwa na umri wa miaka 34 baada ya kombe la dunia la
mwaka 2002 na miaka minne baadae Italy ikabeba ndoo ya dunia mwaka 2006.
Roberto Baggio, Italy (1988-2004: Mechi 56, magoli 27)
.
Mchezaji mwingine wa Italy aliyeisaidia timu yake kwenye fainali za
kombe la dunia mwaka 1994 na kumaliza akiwa mfungaji bora wakati wa
kuwania nafasi ya kushiriki michuano hiyo.
kibaya
zaidi ni kwamba baada ya mchezo kumalizika kwa sare ya 0-0 ikabidi
mshindi atafutwe kwa mikwaju ya penati. Baggio akakosa penati yake na
kuwaacha Brazil watwae kombe.
Kwenye
mchezo wa fainali Ujerumani iliishia kuambulia kichapo cha goli 2-0 na
Brazil kunyakua kombe hilo, mwaka 2008 akaipeleka tena Ujerumani kwenye
mchezo wa fainali ya Euro lakini kama kawaida hawakufua dafu mbele ya
Hispania baada ya kulazwa kwa goli 1-0.
Katika kumbukumbu mbaya za mchezaji huyo, Ballack hajawahi kushinda taji lolote kubwa ukiahilia mataji ya ligi.
Paul Gascoigne, England (1988-98: Mechi 57, magoli 10)
Sure,
you could name other England icons such as Ukitaja nyota wa England kama
David Beckham, Steven Gerrard, Paul Scholes, hata George Best, lakini
huwezi kuacha kulitaja jina la Gascoigne.
Ilikuwa
ni mwaka 1990 ambapo Engand ilimaliza nafasi ya nne lakini Gascoigne
alipewa kadi ya njano iliyomaanisha asingecheza mchezo wa fainali kitu
kilichomfanya amwage machozi.
Lakini
hakuweza kushinda kombe lolote akiwa na Denmark. Walishinda izuri
kwenye Kundi E kwenye michuano ya kombe la dunia la mwaka 1986 lakini
wakachezea kichapo cha goli 5-1 mbele ya Hispania.
Na wakati Denmark inashinda kombe la mataifa ya Ulaya mwaka 1992, Laudrup alikuwa tayari ameshastaafu soka.
Cristiano Ronaldo, Ureno (2003-hadi sasa: Mechi 120 , magoli 55)
Muda
unazidi kuyoyoma kwa mchezaji huyo mwenye miaka 30 ambaye hataki
kutundika daruga bila kutwaa taji lolote ili aongezee kwenye CV yake
inayokosa kombe akiwa na timu yake ya Ureno.
.
Ronaldo asingekuwepo kwenye orodha hii, lakini fainali ya Euro mwaka
2004 ambayo Ugiriki iliifunga Ureno na kutwaa kombe lhilo la mataifa ya
Ulaya.
Je, Messi au Ronalo wanaweza kutwaa mataji wakiwa na timu zao za Taifa? Muda unazikdi kwenda kasi sana kwa wote wawili.
Post a Comment