Star wa rnb Trey Songz amesema huwa anaepuka kumzungumzia baba yake
kwenye mahojiano au nyimbo zake sababu hawajaongea kwa zaidi ya miaka
minne sasa.
Trey alisema kwenye interview
“SIjawahi
kuwa na mwanaume mtu mzima kwenye maisha yangu wakati nakuwa, Mama
yangu na aunty zangu walinisaidia kila kitu,nguvu walionipa nisinge kuwa
nayo kaka baba yangu angekuwa kwenye maisha yangu “.
Trey Songz ni miongoni mwa wasanii wengi wa Marekani wasiokuwa na
mahusiano mazuri na baba zao, wengine no pamoja na Missy Elliot na Mary J
Bligde.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment