Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amemtolea uvivu mshauri wa zamani wa Siasa wa Rais Jakaya Kikwete, Kin...
Nay wa Mitego: Nina Maana Yangu Kutumia Damu Kwenye Video
Akizungumza na Clouds E ya Clouds TV, Nay amesema bado kuna video zinakuja zitakazokuwa na damu. “Hii ni video ya pili naifanya hivi na kut...
Nimempata Diamond hapa South Africa, kaeleza ukweli wa beef na Davido na walivyokutana juzi, mtoto wiki ijayo na tuzo za MTV.
Mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz amekutana na camera ya AyoTV hapa Durban South Africa wakati tukisubiria tuzo za MTV 2015 ka...
Gereza limegeuzwa bonge la Hoteli, kulala humu vipi ni noma au? (Pichaz & Video)
Bridewell lilikuwa Gereza ndani ya Liverpool Uingereza ambalo lilijengwa tangu miaka ya 1550 hivi, liliwahi kubadilishwa matumizi yak...
Duka La Westgate Kufunguliwa Leo
Duka la westagate lililo mji mkuu wa Kenya Nairobi linafungua milango yake hii leo kwa umma karibu miaka miwili tangu lishambuliwe na w...
Je,mbu hutambua vipi mwili wa mwanadamu usiku?
Utafiti mpya umebaini kwamba mbu hutafuta kitu cha kula kwa kutumia vigezo vitatu,harufu,macho na joto. Utafiti huo...
Runtown akamilisha video yake na Wiz Kid, collabo na staa wa Marekani, viko hapa.
Mwimbaji wa muziki kutoka Nigeria Runtown amekamilisha utengenezwaji wa video yake na Wizkid ‘Bend down pause.’ Video imefanyika Marekani...
Je Sergio Ramos ataondoka Madrid? Kocha Benitez katoa majibu mbele ya Wanahabari..
Sergio Ramos Sakata la usajili wa beki wa kimataifa wa Hispania na klabu ya Real Madrid , Sergio Ramos leo asubuhi...
Je,Ronaldo ni mchezaji Bora wa Dunia? Angalia jibu la Benitez alipoulizwa..
Kocha wa Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez alijikuta anapata wakati mgumu kujibu swali katika mkutano na waha...
Baada ya kufanikiwa kumnasa Raheem Sterling, Man City imemsajili na kiungo huyu…
Klabu ya Manchester City imemsajili kiungo wa Aston Villa Fabian Delp h kwa mkataba wa miaka mitano… Delph ameji...
Knocking On My Door!! – (Video) D’banj
Ni siku chache tuu zimepita toka D’banj aachie wimbo wake wa Knocking on my door na sasa video ya wimbo huo imetoka. Director wa video h...
Baada ya kufanikiwa kumnasa Raheem Sterling, Man City imemsajili na kiungo huyu…
Klabu ya Manchester City imemsajili kiungo wa Aston Villa Fabian Delp h kwa mkataba wa miaka mitano… Delph amejiunga na Manchester City...
Download na sikiliza wimbo wa Abdu Kiba ‘Tototoo’ uko hapa.
Hii kazi mpya ya Abdu Kiba ‘Tototoo’ Download na sikiliza hapa.
Maneno ya January Makamba baada ya kujua hakuingia 3 bora ya Urais.
January Makamba ni miongoni mwa waliojitokeza kuomba ridhaa ya chama cha mapinduzi CCM kuteuliwa kukiwakilisha chama kwenye kugombea Urais...
Serena Williams aipeperusha bendera ya Marekani kwa mara nyingine tena!!
Nimepata stori kutoka Uingereza masaa kadhaa yaliopita, ambako mchezaji maarufu wa Tennis duniani Serena Williams anaziandika headlines ...
Hawa ndio watatu kwenye Urais wa Tanzania waliopitishwa na CCM
Updates kutoka Dodoma July 11 2015 ziko kila wakati, na zinazonifikia tu na mimi nazisogeza kwako ili usipitwe, tuliifahamu TOP 5 ya Wa...
Hii video mpya ya Bamboo ‘Too Much Potential’itazame hapa.
Hii video mpya ya rapa wa Kenya Bamboo ‘Too Much Potential’ Bonyeza play kuitazama.
Davido alivyomjibu shabiki kuhusu msanii mwingine wa kimataifa anayetaka kufanya naye collabo.
Staa wa muziki kutoka Nigeria David Adeleke aka Davido amemuweka wazi msanii mwingine wa kimataifa anayetaka kufanya naye collabo. Kupit...