Matukio ya wazazi kunyanyasa watoto tena hata wa kuwazaa wenyewe bado yameendelea kutokea kila wakati sehemu mbalimbali duniani.
Huko Nigeria kuna stori inamuhusu baba
mmoja
kaamu kukata vidole vya mwanae wa kumzaa kisa tu kauiba nyama bila
kumwomba mama yake ruhusa ya kuchukua.
Hata hivyo polisi hawakumuachia Surulere Rafael kwa
kumfungulia mashtaka na alipoulizwa sababu ya kumkata mwanaye huyo
alisema alimwibia fedha kiasi cha zaidi ya 10,000 za Kitanzania pia
aliiba mboga bila kuomba na kuamua kumpa adhabu hiyo.
Kwa sasa mtoto huyo amelezwa hospitali huku akiendelea kupatiwa matibabu wakati baba yake akiendelea kushikiliwa na polisi.
Post a Comment