Msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za
burudani nchini Uganda [ Uganda Entertainment Awards 2015 [UEA] ].
Diamond Platnumz yupo kwenye kipengele cha
Best African Act akichuana
na wasanii Wiz Kid wa Nigeria, Patoranking wa Nigeria, Tiwa Savage wa
Nigeria na Kundi la Active.
Tuzo zitafanyika september 4 2015 kwenye hoteli ya Munyonyo Common Wealth Resort mjini Kampala nchini Uganda.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment