X Wa Chris Brown ameendelea kuonyesha
kutohitaji uwepo wa Chris kwenye maisha yake, Karrueche Tran anaendelea
na kazi zake uwanamitindo na hivi karibuni ameonekana kwenye jarida
kubwa na
‘Flaunt’ nchini Marekani.Karrueche Tran ’27’ amepozi bila top [Bra] kwenye jarida hili la Flaunt ikiwa i picha itakayotumika kwenye toleo lijalo la jarida hili.
Post a Comment