Ukurasa wa facebook wa rapa Rabbit umevamiwa na wahalifu wa
mitandaoni. Kupitia kurasa yake ya instagram Rabbit alisema yeyote
atakaye jibiwa au kutafutwa kupitia kurasa hip ajue sio Rabbit ila ni
matapeli wa mitandaoni. Karasa iliyochukuliwa na kuendeshwa na wahalifu
hao inatumia jina ‘Rabbit King Kaka’.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment