Kisukari ni mojawapo ya magonjwa ya mmeng’enyo ambayo husababisha kuwepo kwa kiwango kikubwa cha sukari katika damu kwa muda mrefu. Dalili...
NYAMA NYEKUNDU ILIYOSINDIKWA HUSABABISHA SARATAN
Shirika la utafiti la saratani la WHO (IARC), limefanya uchambuzi wa kitafiti wa jinsi matumizi ya nyama nyekundu iliyosindikwa kuwa ki...
Video mpya ya Diamond Platnumz ‘Utanipenda’.
Itazame hapa video mpya ya Diamond Platnumz ‘Utanipenda’ iliyofanyika location mbili,Africa kusini na Tanzania. Kwenye video anaonekana M...
Walichofanya kwenye stage Dar Koffi Olomide, WEUSI, Navy Kenzo, Young D, Belle 9, MwanaFA na wengine
Ni show ambazo zote zimefanyika Escape One Dar es salaam ndani ya wiki tatu zilizopita ambapo staa wa Afrika kutokea Congo DRC ...
Ijue smartphone inayokaa chaji siku 15.. (+Video)
Mawasiliano muhimu sana mtu wangu, ndio maana watu wengi wanaona umuhimu wa kuwa na smartphone ili mawasiliano ya njia nyingi yaweze kumf...
Utafiti uliofanywa umeonyesha Unene wa mwanaume huathiri mbegu za kiume
Utafiti uliofanywa nchini Denmark umeonyesha uzani wa mwanamume huathiri seli za mbegu za kiume na huenda ukachangia katika kuwafanya wato...
Cheki na hii Video ya Barack Obama akiimba Hotline Bling ya Drake.......
Hii video ipo kwenye channel ya youtube inayohusisha video tofauti za rais Barack Obama,hii inamuonyesha kwenye matukio tofauti na maneno...
Lipstick za Drake zanunuliwa zote dakika chache tu baada ya kuingia sokoni.
Lipstick za rapa Drake alizobuni kupitia brand ya Tom Ford zimemalizika dukani ndani ya dakika chache za kuingia sokoni. Lipstick hizi zi...
Kendrick Lamar na ScHoolboy Q wakanusha taarifa za kupigana studio.
Rapa Kendrick Lamar na ScHoolboy Q wamekanusha taarifa kuwa walipigana studio weekend hii. Wasanii hawa wa kundi la TDE walitumia twitte...
Hii video mpya ya Dj Maphorisa Ft Wizkid & Dj Buckz ‘Soweto Baby’ itazame hapa.
Hii video mpya ya Dj Maphorisa na Producer kutoka Kundi la Uhuru Africa Kusini,kwenye wimbo huu kawashirikisha Wizkid & Dj Buckz. W...
Ripoti kutoka Zanzibar kuhusu ajali ya moto kwenye meli December 15..
Hii stori imenifikia baada ya kuenea kwenye mitandao pamoja na picha zikionesha tukio ...
China hali sio nzuri, imebidi wanunue hewa safi kwenye chupa hizi..
Kumekuwa na ripoti mfululizo kuhusu ishu ya hali mbaya ya hewa iliyokumba nchi ya China ikafikia hatua mpaka baadhi ya viwand...
Kufuru nyingine ya bondia Floyd Mayweather na hii saa ya milioni 200..
Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather yupo mapumzikoni dubai. Kama sehemu yake ...
Hikihapa kichupa kipya toka kwa Chris Brown, ‘Wrist’ feat. Solo Lucci {VIDEO}
Staa wa muziki kutoka Marekani, Chris Brown anazidi kuzisogeza videos kutoka kwenye album yake ya saba, Royalty . Baada ya k...
Diamond Platnumz kaileta video ya ‘Utanipenda’ inayosomeka kiingereza..
Kwa sababu muziki unatoboa mipaka kimataifa, kuna haja hata watu wetu wa Ulaya na Marekani nao wafahamu tafsiri ya kinachoimb...
Waziri Mkuu alivyobebwa juujuu kutolewa nje ya Bunge la Ukraine..
Bunge la Jamuhuri ya Muungano Tanzania litaanza muda sio mrefu baada ya Uchaguzi mkuu...
Hii video mpya ya WizKid ‘Final [Baba NLA]’ itazame hapa.
Hii video mpya ya msanii kutoka Nigeria WizKid ‘Final [Baba NLA], Video imetayarishwa na Sesan.
Meek Mill kurudishwa jela kwa kosa la kuvunja masharti ya kifungo cha nje.
Kuna asilimia kubwa rapa Meek Mill akarudishwa tena jela kwa kosa la kuvunja masharti ya kifungo cha nje aliyopangiwa na mahakama. Mee...
Hii video mpya ya Jidenna ‘Long Live The Chief’ itazame hapa.
Jidenna ambaye alifanya vizuri na wimbo wake wa “Classic Man” sasa amekuja na rekodi nyingine iliyopewa jina “Long Live the Chief.”
Chris Brown asema mtoto wake Royalty amesababisha aache kuvuta sugara.
Rnb staa Chris Brown anasema mtoto wake Royalty ndio amekuwa na ushawishi mkubwa kwenye album yake mpya ya Royalty. Kwenye interview ali...
Hii video mpya ya Jux ‘One More Night’ itazame hapa.
Hii video mpya ya Rnb super staa Jux inaitwa ‘One More Night’. Audio imetayarishwa na Nahreel
Rais Magufuli Atangaza Baraza la Mawaziri…!
Orodha ya mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Tano ya Dk. Magufuli. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametangaz...
Ojuelegba ni wimbo No12 bora zaidi duniani 2015,haikuhitaji sauti ya Drake,jarida la Fader lasema.
Wimbo wa WizKid ‘Ojuelegba Remix’ watajwa kuwa No 12 kwneye nyimbo bora za 2015 na jarida la Fader kwenye orodha ya nyimbo 107 bora za ...
YAYA TOURE ATWAA TUZO NA KUINGIA KWENYE REKODI MPYA
Kiungo wa klabu ya Manchester City ya England na timu ya taifa Ivory Coast Yaya Toure metwaa tuzo ya mchezaji bora Afrika inayotolewa na ...
HUYU NDIYO MRITHI WA LOUIS VAN GAAL MAN UNITED
Kocha Louis Van Gaal wa Manchester United anaweza kutimka klabuni hapo mwisho wa msimu huu pamoja na kuwa bado ana mkataba hadi msimu uj...
KILICHOMKUTA BENZEMA TIMU YA TAIFA ANAKIJUA MWENYEWE
Nyota wa Real Madrid Karim Benzema amepigwa stop kuchaguliwa kwenye timu ya taifa ya Ufaransa hadi pale uchunguzi wa sakata lake linalo...
Hii ndio sababu ya wimbo wa Drake ‘Hotline Bling’ kutokuepo kwenye tuzo za Grammy’s 2016…
Rapper kutoka kundi la muziki la Cash Money Records, Drake ni miongoni ya wasanii waliofanikiwa kuingia kwenye nominations za ...
Cheki video ya hawa waki-dance cover ya ‘What Do You Mean’ ya Justin Bieber
Kwenye list ya wasanii kutoka Marekani wanaofanya vizuri sana kwenye headlines za muziki sasa hivi, huwezi kuacha kulitaja jin...
Jibu la Ronaldo baada ya kunong’onezana na kocha wa PSG, ni kweli anahamia PSG? Jibu lipo hapa …
Headlines za staa wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo kama ataendelea kuitum...
Warembo kwenye michezo ya hatari !!.. cheki walivyokatisha juu ya kamba na high heels..
Huu mchezo wa kutembea juu ya kamba sio mchezo wa kawaida, hata mwanaume kupata ujasiri wa kutembea juu ya kamba yataka moyo !!...
Ukarabati uwanja wa Stamford Bridge utamalizika 2020, unaijua gharama yake? idadi ya mashabiki je?
Uwanja wa Stamford Bridge ni moja ya viwanja maarufu duniani katika mchezo wa soka, huu uwanja unamilikiwa na vigogo wa soka ...