Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather yupo mapumzikoni dubai.
Kama sehemu yake ya
matumizi ya kawaida bondia huyo ameamua kuonyesha jeuri nyingine ya
fedha baada ya kununua saa ya mkononi yenye thamani ya dola milioni 1
sawa na fedha za kitanzania zaidi ya milioni 200.
Saa hiyo aina ya Hublot ndio saa ghali zaidi duniani kwa sasa.
Post a Comment