Lipstick za Drake zanunuliwa zote dakika chache tu baada ya kuingia sokoni.
Lipstick za rapa Drake alizobuni kupitia brand ya Tom Ford zimemalizika dukani ndani ya dakika chache za kuingia sokoni. Lipstick hizi zinauzwa dola $35 kwa moja.
Lipstick hizi ni collection ya Tom Ford, Lips & Boys.
Post a Comment