Ads (728x90)

Tabs

Page

Staa wa muziki kutoka Marekani, Chris Brown anazidi kuzisogeza videos kutoka kwenye album yake ya saba, Royalty.
Baada ya kusiogeza kwetu video ya Back to Sleep jana 15 December 2015, leo staa huyo anaileta kwetu mdundo mwengine kwenye video, ngoma inaitwa Wrist na hii pia inapatikana kwenye album mpya ya Chris Brown, Royalty itakayokuwa sokoni mapema siku ya ijumaa December 18 2015.

Post a Comment