Kwenye list ya wasanii kutoka Marekani wanaofanya vizuri sana kwenye headlines za muziki sasa hivi, huwezi kuacha kulitaja jina la staa wa muziki, Justin Bieber. Hivi karibuni Justin Bieber alidondosha album yake mpya, PURPOSE na kuachia dance video za nyimbo zote zinazopatikana kwenye Album hiyo.
Leo nimekutana na dance cover moja ya wimbo huo kwenye YouTUBE ambapo
dancers wa video hiyo wametumia manjonjo ya kipekee sana kuicheza ngoma
hiyo mwanzo mwisho, nikaona nishare na wewe mtu wangu utundu wa wenzetu
kwenye uchezaji muziki.
Bonyeza Play hapa chini kuzinasa dakika mbili za ‘What Do You Mean/ Epic Segway Dance Cover’:
Kwenye list ya wasanii kutoka Marekani wanaofanya vizuri sana kwenye headlines za muziki sasa hivi, huwezi kuacha kulitaja jina la staa wa muziki, Justin Bieber. Hivi karibuni Justin Bieber alidondosha album yake mpya, PURPOSE na kuachia dance video za nyimbo zote zinazopatikana kwenye Album hiyo.
Kama video hii imekuvutia na ungependa kujua ilikuajekuaje kwenye utengenezaji wake, feel free kubonyeza play hapa chini ili uweze kutazama behind the scenes ya kile ulichotoka kukitazama hapa juu:
Post a Comment