Rnb staa Chris Brown anasema mtoto wake Royalty ndio amekuwa na ushawishi mkubwa kwenye album yake mpya ya Royalty.
Kwenye interview aliyofanyiwa hivi karibuni Chris Brown anasema mtoto
wake amembadilisha sana na sasa anampango wa kuacha kabisa kuvuta
sigara.
Chris anasema “kuacha sigara ndio kitu hakwanaza nafanya mwaka 2016 iliniweze kumlea mwanangu vizuri ”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment