Ads (728x90)

Tabs

Page

Kumekuwa na ripoti mfululizo kuhusu ishu ya hali mbaya ya hewa iliyokumba nchi ya China ikafikia hatua mpaka baadhi ya viwanda vikalazimika kufungwa kwa muda.
CANISTER II
December 14 2015 nilikusogezea ripoti ya mgahawa mmoja China kuwatoza wateja wote kama Yuan 1 ambazo ni kama Tshs. 333 hivi kwa ajili ya kupata hewa safi ndani ya mgahawa huo, kama hukuipata unaweza kuicheki ukibonyeza hapa >>> Mgahawani
Leo nimeinasa ripoti CNN kwamba kuna kampuni moja ya Vitality Air ya Canada imeamua kutengeneza chupa zilizojazwa hewa safi ambazo zinasafirishwa na kwenda kuuzwa China.
Gharama ya chupa au kopo moja la hewa ni kati ya dola 14 mpaka 20 ikitegemeana na ujazo wa kopo lenyewe !! Stori yenyewe iko hapa kwenye video yake

Post a Comment