Kwa sababu muziki unatoboa mipaka
kimataifa, kuna haja hata watu wetu wa Ulaya na Marekani nao wafahamu
tafsiri ya kinachoimbwa ukiachana na fleva ya mdundo wenyewe.
Saa chache zimepita toka Diamond Platnumz aachie ngoma ya ‘Utanipenda‘,
lakini kingine kizuri ambacho amekifanya ni kuweka pia wimbo huo ukiwa
na mashairi ya kiingereza (subtitle) kwa hiyo mbali ya fleva ya wimbo,
kama hujui kiswahili basi kuna subtitle mwanzo mwisho inayotafsiri
mashairi ya wimbo huo.
Unaweza kuplay hapa kuucheki mtu wangu.
Post a Comment