Meek Mill alika jela miezi sita mwaka jana kwa makosa ya kumiliki
silaha bila kibali na uuzaji wa dawa za kulevya. Meek Mil alipangiwa
kufungo cha nje cha miaka mitani ikiwa ni athabu aliyopewa badala ya
kukaa jela miezi 11.
Hii karibuni Meek Mill aliondoka mjini Philly na kwenda mji mwingine kuhuthuria tuzo za Ama’s bila ruhusa ya mahakama na kibali cha kusafiri na jana aliitwa mahakamani kuelezea kitendo chake cha kuvunja masharti ya kifungo cha nje.
Meek anaweza kwenda jela kama jaji hatamuhurumia.

Post a Comment