Ni show ambazo zote zimefanyika Escape One Dar es salaam ndani ya
wiki tatu zilizopita ambapo staa wa Afrika kutokea Congo DRC Koffi
Olomide aliimiliki stage kwa zaidi ya dakika 60, zitazame show zenyewe
hapa chini… KOFFI OLOMIDE LIVE IN DAR ES SALAAM…
Post a Comment