Itazame hapa video mpya ya Diamond Platnumz ‘Utanipenda’ iliyofanyika
location mbili,Africa kusini na Tanzania. Kwenye video anaonekana Mwana
FA, Wolper, Mama Diamond, Master J, Zari, Shaa, Bab Tale na Saidi
Fella.
Video imetayarishwa na Godfather
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment